header

nmb

nmb

Friday, February 19, 2010

JAMANI WACHINA!! ALIYE UWA MKEWE ALIPONZWA NA MCHINA

Yule jamaa Matiko wa Gongolamboto aliyeua mkewe kumbe alitaka kumuuzia kiwanja mchina kwa sh 100m mkewe Bi Rehema Matiko alipo kataa ndipo alipo mtumbua na visu mwili mzima( KATUMIA FALSAFA YA MUNGU KOSA BANIANI KOSA)

MAN'GEN'GE AKIWA CHINI YA MIKONO YA POLISI JUZI

No comments:

Post a Comment