header

nmb

nmb

Friday, January 8, 2010

Wananchi wa Dar wampongeza Kamanda Kova kwa kukamata majambazi!!!

Kamanda wa kanda maalum ya DSM Suleiman Kova akionyesha baadhi ya silaha na namba ya gari bandia zilizotumiwa na majambazi hivi karibuni.

Kova kushoto akiwapongeza polisi waliopambana na majambazi hivi karibuni, kulia ni konstebo Mwachumu Haji akipokea Tshs. 300,000

No comments:

Post a Comment