Mpiga picha wa TBC 1 Bw. Budondi akijitahihi kunyanyuka kwa kasi huku ng'ombe wakimuangalia kwa uchungu baada ya kugoma kufungwa jembe la kulimia wakati wa kufundisha kilimo cha kutumia Plau kijijini Mwanalumango Pwani. Budondi alidondoka akiwa ktk harakati za kukwepa kujeruhiwa na ng'ombe hao MASHINE YA KUSAGA YA ASILI
Mkazi wa kijiji cha mahenge Iringa Bi Shida Sembetela akisaga kunde kwa kutumia kunde kwa ajili ya kutumia bagia kwa ajili ya kuuzia wateja wake.

No comments:
Post a Comment