header

nmb

nmb

Wednesday, October 28, 2009

Ze Komedi noma.......

Wasanii wa Ze komedi wakiwa ktk moja ya maonyesho yao, kutoka kushoto Wakuvanga, Mc Regan, Joti, Masanja, na Mpoki 'tajiri la kihaya'. Kadri siku zinavyokwenda kundi hili linazidi kuonekana kuwa ni moto wa kuotea mbali yaani 'noma' jamaa wanatisha ile mbaya ktk medani ya habari na vitimbi. Pr promotion walikuwepo ktk onyesho hili lililofanyika hivi karibuni

No comments:

Post a Comment