header

nmb

nmb

Wednesday, October 28, 2009

KONYAGI INAVYOWAJALI WADAU.....


Meneja masoko bw. Joseph Chibehe akikabidhi msaada wa kampuni ya Konyagi kwa kikundi cha albino

Miboksi ya konyagi mwitu ikiwa chini ya ulinzi wa polisi



Kova akiomba wadau kufichua watengenezaji konyagi mwitu

Kova akiwashukuru wakazi wa Dar kwa kushirikiana kulimaliza tatizo la konyagi mwitu.





Meneja masoko wa Tanzania distilleries akitoa hundi ya msaada kwa bw. Temu kwa ajili ya maendeleo ya mkoa wa Kilimanjaro anayeshuhudia katikati ni bw. Charles Donard


watuhumiwa wa konyagi feki wakiwa chini ya ulinzi wa polisi, tatizo hilo kwa sasa limemalizika jijini



Msambazaji wa konyagi bw. Mwaigomole akisalimiana na wachezaji walioshiriki ligi ya mbunge wa bagamoyo iliyofanyika uwanja wa mwanakalenga jijini bagamoyo, kampuni ya Tanzania Distillaries ni wadhamini wakubwa wa kombe hilo.




moja ya timu iliyoshiriki kombe la mbunge



Konyagi ikikabidhi msaada wa tshs. mil. 5 kwa Hanang Education trust

No comments:

Post a Comment