header

nmb

nmb

Monday, May 27, 2013

LADY JAYDEE KIZIMBANI LEO



 Kesi ya msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Judith Wambura (Lady JayDee) inatarajia kusikilizwa leo katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Kesi hiyo inatarajia kuvuta hisia za watanzania kutokana na mvuto na aina ya kesi hiyo,
JayDee anatarajia kupanda kizimbani kwa mara ya kwanza baada ya kukabidhiwa hati ya mashtaka na kutakiwa kurudi mahakamani  mei 27 ambayo ni leo.

No comments:

Post a Comment