Mahakama ya mkoa wa jijini Arusha imemvua ubunge aliyekuwa mbunge wa Arusha Godbless Lema asubuhi hii habari zilizotufikia zinasema uamuzi huo umetokana na kesi ya kupinga matokeo iliyokuwa imefunguliwa dhidi ya Godbless Lema iliyokuwa ikiendelea mkoani humo.
Habari zaidi kuhusu tukio hilo na hali ilvyokuwa wakati wa uamuzi wa mahakama jijini Arusha tutawaletea hivi punde kutoka kwa mwandishi wetu Gladness Mushi wa Arusha aliyekuwepo mahakamani hapo.
No comments:
Post a Comment