header

nmb

nmb

Wednesday, February 8, 2012

WANAKIJIJI BUKOBA WALEWA CHAKALI BAADA YA KUFAKAMIA BIA ZILIZOMWAGWA NA LORI LA BIA KUPINDUKA
Mwanakijiji akiwa bwakisi baada ya kujipelekea bia zisizo na idadi.

Ajali hii imetokea barabara ya kibeta maeneo ya Magoti.

Mmiliki wa mali hii ni Ndg Mganyizi mkazi wa Hamugembe Bukoba.

Anaonekana Mama Mganyizi akijaribu kusimamia kile kilichosalia.

Kishindo Cha gari kuanguka kimewakusanya wana kijiji na kushambulia bia kikubwa walicho ambiwa ni kutokuchukua chupa majumbani.


Ajali ni ajali ila ukiangalia eneo la tukio na kilichotokea kiukweli vimepichana kabisa.

Hii ni barabara ilipotokea ajali hii,Mdau unaweza kuona mazingira haya na kile ninachokizungumzia.CHANZO;BLOGU YA BUKOBA WADAU

No comments:

Post a Comment