header

nmb

nmb

Saturday, April 10, 2010

SASA STAR TV ITATESA KATIKA MATUKIO YA LAIVU


Muongozaji wa Matangazo ya moja kwa moja wa kituo cha Star Tv, Henry Kimwaga (kulia) akiwaelekeza Wapiga picha jinsi ya mitambo mipya ya kituo hicho inavyofanya kazi . Mitambo hiyo yenye thamani ya shilingi bilioni.4 ni mwendelezo wa uboreshwaji wa kituo hicho kwa kurusha matangazo ya moja kwa moja . Picha ya Rajabu Mhamila

No comments:

Post a Comment