HII NDIO ADHABU MBADARA KWA KUKOMESHAVIBAKA
Si kwamba hawa ni Vibarua laa bali ni Vibaka walioiba tenki la maji nyumbani kwa mkazi wa Kigamboni Mjimwema na kukamatwa kisha kutumikishwa adhabu hii hadi polisi. Kwanza walichapwa viboko kisha kuvuliwa nguo na kubebeshwa mzigo wa wizi hadi Polisi.
No comments:
Post a Comment