Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hussein Mwinyi akizindua kitabu cha mikakati ya afya ya kinywa na meno cha mwaka 2011-2017, wakati wa mkutano wa mwaka wa Madaktari wa Meno Tanzania, Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mganga Mkuu wa Meno wa wizara hiyo, Dk. Ahadiel Senkoro. (PICHA NA KHAMIS MUSSA)
Daktari Bingwa na Meno ya Watoto Muhimbili na Rais wa Rais wa Chama cha Madaktari wa Meno Tanzania,Rachel Mhaville akiteta jambo na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hussein Mwinyi katika mkutano huo
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hussein Mwinyi AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA
No comments:
Post a Comment