Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa akipokea msaada wa simu 75 kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Biashara wa Zantel, Ahmed Mokhles kwa ajili ya kusaidia kuboresha mawasiliano katika utoaji huduma kwa wananchi. Kulia ni Rashid Tenga, Mkurugenzi wa Kampuni ya Aggrey and Clifford. Hafla ya makabidhiano imefanyika ofisini kwa meya leo . |
No comments:
Post a Comment