Kituko cha kumaliza mwaka cha aina yake toka kwa Polisi wa kitengo cha (NYW) alipopewa mauno yakufa mtu na moja ya jimama katika mkusanyiko wa furaha uliotokea jijini New york,USA,hivi karibuni.
Polisi huyo alijisahau kufanya kazi yake na akajikuta anatumia muda mwingi kuburudisha nafsi yake kwa kuchezewa na Jimama huyu kiasi cha mapaparazi kupiga picha bila yeye kujua.
No comments:
Post a Comment