header

nmb

nmb

Thursday, April 28, 2011

Mdau wenu katika jiji la Arusha na Safari yangu ilikuwa kama hivi!!

Njiani kama Ujuavyo kuna matukio mengi.
Hapa ni Mkata njiapanda ya kwenda Handeni kwa Mheshimiwa Kigoda, wakazi wa kitongoji hicho waki shangaa gari la mizigo likiwa limepinduka


Tulipofika manispaa ya Moshi hali ilikuwa nzuri, Manispaa imependeza kwa usafi


Mdau nikaingia kazni moja kwa moja,
hapa ni katika Uwanja wa sheikhe Amri Abedi ambako kulikuwa na Maaonyesho ya wiki ya Maralia Duniani.
Jioni njema nami naenda Kusaka Hoteli ya kupumzisha Mwili nyumba!!

No comments:

Post a Comment