
Spear Patrick Kaka mkubwa wa pr habari.blogspot.com naye alijumuika katika kupima ngoma. Usiulize majibu Kupima ni Muhim

MC Maarufu jijini Warda Abasi naye amepima kujua Afya yake

Burudani zilikuwapo

Wadau waliojumuika wakifuatilia

Mwakilishi wa PSI Marcelina Cyprian akitoa somo jinsi ya kutumia Kondom za Kike Led Pepeta na Zile za Kiume za Salam na Familia kwa wanafunzi na wakazi wa jiji walio jumuika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja leo asubuhi
Afisa wa PSI Akigeuza meza ilikunyosha Mwandiko wakati wa Maandalizi ya Tamasha hilo
No comments:
Post a Comment