Akimvika pete ya agano la ndoa yao mbele ya kasisi
Mkate wa Kristo
kau-safiri kenyewe ndio haka
Prhabari.blogspot.com kwa niaba ya Pr video production inakupongeza Deo Mwana mbilimbi kwa kuuaga ukapera na pili inakupongeza kwa kuwa bega kwa bega na blog ya Taifa kwa kututumia picha hizi inaonyesha kuwa wewe ni mfuatiliaji mzuri wa Blog hii ya Taifa,Mungu aibariki ndoa yenu iwe na maisha marefu.
No comments:
Post a Comment