Zainabu Zuberi akituhumiwa kuhusika na ushirikina.
|
| Moja ya askari akipata maelezo kwa mama aliyepotelewa na mtoto wake katika mazingira ya kutatanisha wiki mbili zilizopita mpaka sasa hajapatikana mtoto huyo |
Wananchi hao kwa pamoja waliazimia kumhamisha Mwanamke huyo Mtaani hapo katika mkutano ulihudhuriwa na wakazi zaidi ya 200 ambao walidai kuchoshwa na hali hiyo.
|
No comments:
Post a Comment