header

nmb

nmb

Friday, January 29, 2010

DODOMA BUNGENI LEO


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia katika mazungumzo ya Mbunge wa Kilwa Kaskzini,Dk. Samson Mpanda, kwenye jengo la utawala la Bunge Mjini Dodoma leo, Kulia ni Mke wa Mbunge huyo , Martina Mpanda.(Picha Ofisi ya Waziri Mkuu)

JE UNAMKUMBUKA HUYU?

Ewe mdau jibu swali hili ilikujipatia zawadi kutoka KONYAGI.Je unamkumbuka huyu Ni nani Nchi gani. Jibu kupitia Mtandao wetu huo hapo juu

Hakim na wanyange!

Mtaalam wa Graphic Designing Bw. Hakim (aliyevaa tai) akiwafundisha jambo warembo wa Redds walipomtembelea ofisini kwake hivi karibuni.

USHIRIKIANO UNAHITAJIKA KATI YA WAANDISHI NA POLISI

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Said Mwema, akibadilishana mawazo na baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari, muda mfupi baada ya kufungua mkutano wa Jukwaa la Wahariri lililokuwa likijadili kuhusu ushirikiano wa jeshi hilo na vyombo hivyo Dar es Salaam jana.

TUTUNZE MAZINGIRA YATUTUNZEWaziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt. Batilda Burian akiongea na waandishi wa habari mjini Dodoma leo asubui, kuhusu maadhimisho ya Siku ya Ardhi Duniani itakayoadhimishwa wiki ijayo. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi waHifadhi Bioanwai Bw. Nkondoluya

POLENI MUNGU ATAWASAIDIA MPONE

Mmoja wa wazazi wa wanafunzi wa shule ya Sekondari Kibasila Dar es Salaam, Bi. Beatrice Moses, akiwajulia hali baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo katika Wodi no 202 ya hospitali ya Temeke ambao walianguka kwa mshtuko wa mabomu yaliyolipuliwa na polisi katika harakati za kuwatawanya kutoka barabarani walipokuwa wamekusanyika kupinga kugongwa kwa mwenzao

ASANTE BENK YA DUNIA KWA KUIPENDA BONGO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedhi na Uchumi Bw. Ramadhan (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati wa kutiliana saini ya makubaliano na Benki ya Dunia juu ya mpango wa kusaidia bajeti ya Tanzania kupunguza umasikini na maradhi. Kulia ni Mkurugenzi wa Benki hiyo nchini Bw. John

Michael Jackson aenziwa mpaka kwenye style za nywele!

Mnyamwezi akionyesha jinsi alivyo muenzi Mfalme wa Pop Duniani Marehemu Michael Jakson. Kwa sasa wapenzi wa Jakson wanatumia Elfu hamsini kupata mnyoo huo

Kenya waweza Kilimo Kwanza!!


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, wakiangalia uandaaji wa huduma mbalimbali za mauwa wakati walipotembelea katika kiwanda cha mapambo mjini Nairobi jana.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dk. Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, wakiangalia huduma za utafiti wa mazao kwa kutumia teknolojia ya kisasa walipotembelea katika kituo cha utafiti wa Kilimo Gigiri Nairobi Kenya jana.

Siku ya Ukoma Duniani kuadhimishwa Kilombero 31/01/2010!Naibu Waziri wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Mh. Dr. AishaKigoda akizungumza na waandishi wa habari wakati akitoa tamko la sikuya ukoma duniani.Kilele cha siku ya ukoma itaadhimishwa wilayaniKilombero-Morogoro tarehe 31 januari,2010.
Waandishi wa habari za Bunge wakimsikiliza Naibu Waziri wa Afyana Ustawi wa Jamii, Mh.Dr. Aisha Kigoda wakati akitoa tamko la siku yaukoma duniani,mjini dodoma.

(CatherineSungura)

Fid Q kutoka na PROPAGANDA!!


Mwanamuziki wa muziki wa HipHop nchini Farid Kubanda 'Fid Q', anatarajia kuingiza sokoni albam yake ya pili inayokwenda kwa jina la Propaganda Februari 25 mwaka huu.
Kubanda alisema kuwa amekuwa kimya kwa muda mrefu hivyo alikuwa katika maandalizi ya albamu hiyo ambayo anatarajia itakuwa ya aina yake kutokana na maandalizi mazuri aliyoyafanya.

Alisema kuwa albamu hiyo ina jumla ya nyimbo 18 ambayo ameirekodia katika studio mbalimbali ili kuchanganya ladha ya muziki.Kubanda alisema kuwa baada ya kuingiza albamu yake sokoni anatarajia kuanza kurekodi video za nyimbo mbalimbali zilizopo katika albamu hiyo.
Alizitaja baadhi ya nyimbo ambazo zipo katika albamu hiyo kuwa ni pamoja na Propaganda, Usinikubali Haraka aliyoimba na Matonya, Ripoti za Mtaani aliyomshirikisha Zahir Zorro, Mtaua Gem aliyomshirikisha Juma Nature, Juhudi aliyoimba na Bi. Kidude, Kila Siku aliyomshirikisha QJ, Wananiita King aliyomshirikisha Nailon wa Manzese Crew, na Mwana Malungi.

Thursday, January 28, 2010

BLOG MASTER wa PR MR G

Mr Gervas ambaye ni mtaalam wa Blog hii akisikiliza jambo wakati wa kushangaa gari la ajabu.Gari hilo limetengenezwa na chuo cha Ufundi cha Bruno Vocational Training Centre cha Buguruni Malapa DSM. Gari hili linafaa kwa kuigizia maigizo simu No 0713 612396

MSHAURI WA PR PROMOTION

Mshauri wa Kampuni hii Peter Mwenda (Kulia) akiangalia gari la ajabu lijulikanalo kwa jina la Kakakuona huku Mkurugenzi Mtendaji wa Chuo Cha Ufundi (BVTC) Bruno Ndege Kushto akiliwasha kuonesha uwezo wa gari hilo jana.

NMB ATM za kumwaga!

Baadhi ya wateja wa Benki ya NMB wakisubiri huduma ya ATM Mtaa wa Azikiwe DSM jana kwa sasa Benki hiyo inawateja wa kumwaga.

MC

Meneja wa Uhusiano wa Kampuni ya Zain Tanzania Beatrice Singano Mallya akiongoza mkutano wa waandishi wa habari na viongozi wa kampuni yake leo uliofanyika jijini DSM

Zain yazindua Nipe nikupe Kempinski leo!!

Bw. Twisa akizungumza na waandishi wa habara leo Kilimanjaro Kempinski walipokuwa wanazindua ofa mpya ya NIPE NIKUPEMabosi wa Kampuni ya simu ya Zain Tz kutoka kulia Meneja Masoko Kelvin Twissa,Ofisa Mkuu wa Biashara wa Zain Afrika Steve ,Mkurugenzi Mkuu Mr Khaled na Mkurugenzi wa Masoko Syed Ahsan wakionesha Bango la matangazo wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya "NIPE NIKUPE" ambapo mteja chochote atakachotumia kuzungumza na mtu mwingine wa mtandao wowote kampuni hiyo itarudisha.


Utaratibu wa Kujiunga ni kutuma, *SMS Nipe kwenda namba 15444 Utapokea ujumbe kutaarifiwa


Bw Twisse anasema huduma hiyo ni kama zawadi kwa watumiaji wa mtandao wa kampuni yake kwani hata ukitumia 50,000 Zain watarudisha muda wa maongezi uliotumia.

Wake wa mabalozi nchini Tanzania waukaribisha mwaka na Mama Kiwete!!


Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (kulia ) akiongea na mke wa balozi wa Jamhuri ya Kidemkrasi ya Kongo Bi. Celina Juma katika sherehe ya Wenza wa Mabalozi wakati wa kuukaribisha Mwaka 2010 Ikulu Dar es Salaam juzi. Katikati ni Bi. Zakhia Meghji.

Tovuti ya Wizara ya Afrika Mashariki yazinduliwa Dar!!

Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dkt. Stergomena Tax, akionesha kalenda ya mwaka 2010 katika Uzinduzi wa Mkataba wa huduma bora kwa Mteja na Uzinduzi wa Tovuti ya Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dar es Salaam jana. Kulia ni Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri la Afrika Mshariki, Dkt. Diodorus Kamala.

DCDM EAST AFRICA JOINS BDO, THE WORLD'S FIFTH BIGGEST AUDITING FIRM

Mkurugenzi wa Mtendaji wa Kampuni ya Masuala ya Ukaguzi Hesabu Kimataifa (Bdo), Bw. Sandeep Khapre, akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani, jana kwenye hoteli ya New Africa Dar es Salaam juzi kuhusu muungano wa kampuni ya Afrika Mashariki DCDM. (kushoto) ni kiongozi wa kimataifa wa watu katika kampuni hiyo Bi. Emma Howard


DCDM East Africa, the fifth biggest accountang and auditing firm in Tanzania has become a member firm of BDO International, the world’s fifth largest auditing firm and will now be known as BDO International. By becoming a BDO member, the firm joinsd others around the world in network spanning more than 115 countries and nearly 1,100 officesSpeaking un Dar es Salaam at press conference to mark the occasion and announce their new name and logo, DCDM East Africa Partner Chanyera Lukumbo, Said “ This isi truly an exciting time in our history as we join a truly prestigious organization.

BDO International is renown for uts performance and credibility around the world and by becoming a member firm DCDM East Africa is poised to elevate its position both in the country and in all the markets we operate. This is clear testimony to the record we have and commitment we pit to our work.”.In the thirteen years DCDM East Africa has been operating in the country it has carried out work of national impontance inb servelfields including consulting in civil services reforms in mninistries and parastatals, privatization for Tanzania with reviw of the PSRC, a forensic study on behalf ot TRA and Investment promotion for Tanzania with DBSA and MIGA.

“As part of BDO we will now have access to extensive resources inclundind technology, expertise, training and personnel. It also means that we will be recognized among the world’s most respected entities and even more importantly oir work will carry it our commitment to serve the Tanzanian market better and more eagerly”, added Lukumbo.BDO was foind inm 1963 as a group firm from US, Canada, The Netherlands, Germany and UK merge with the aim of providinmg better services to their customers. From its inception, the firm was known as Bider Seidman International Group until 1973 when it changed name to BDO. Today the audit and accounting firm has a workforce of more than 44,000 with around 1,100 offices in 115 coutreies around the world.

Wednesday, January 27, 2010

KOVA ANAPO CHAPA KAZI VIBAKA WANAKOMA


JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam lina washikilia wafanyabiashara wawili kwa kosa la kukutwa na bidhaa bandia aina ya Always zenye thamani ya sh 60,000,000.
Wafanyabiashara wanaoshikiliwa na jeshi hilo ni Bw. Paulo Lema kutoka mjini Arusha na Bw. Mazahel Meghji.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam jana Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, Bw. Suileman Kova alisema bidhaa hizo zikiwa katika magari manne tayari kwa kusafirishwa kwenda mikoani zilikamatwa jana katika eneo la jangwani.

Kamanda Kova alisema baada ya kukamata bidhaa hizo alijitokeza mfanyabiashara mwenye asili ya kiasia aliyejitambulisha kwa jina la Bw. Mazahel Meghji
Alisema baada ya mahojiano, Bw.

Meghji na alikiri kuwa bidhaa hizo ni mali yake ambazo alinunua kutoka kwa Bw. Paulo Lema ambaye ni wakala wa bidhaa hizo katika mkoa wa Arusha.


Baada jeshi hilo kutuma askari wake kwenda katika mkoa wa Arusha lilifanikisha kumkamata Bw Lema na kukamata always nyingine 8110 zikiwa zimehifadhiwa katika ghala linalomilikiwa na mfanyabiashara huyo.

Kamanda Kova alisema katika ukaguzi huo ulihusisha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), na Shirika la Viwango (TBS) na TSCAN kwa ajili ya uhakiki zaidi.
mwisho.
MAGARI manne yamekamatwa yakiwa na bidhaa bandiaPol

MUZIKI UNANOGA HUKU UNAOGA MAJI YA BOMBA LA MVUA


Ma Totozi na men zikifurahi kucheza muziki wa mduara katika ufukwe wa Bahari Beach mwishoni mwa wiki ambapo Mzee wa Blog Spear Patrick alitembelea huko

MASIKINI MTOTO HUYU


Mtoto huyu anaomba wasamaria wema msaada wa pesa ili akafanyiwe upasuaji wa miguu yake iliyoshambuliwa na ugonjwa wa ajabu

MZEE WA VIJISENTI AKIINGIA BUNGENI DODOMA JANA


Mbunge A. Chenge akipiga hatuwa kuwahi kikao cha bunge la jamuhuru ya muungano wa Tanzania jana kinacho endelea Mkoani Dodoma

MTUPOLI


Msanii wa muziki wa kizazi kipya Seremani Msimbe
aka Afande Sere amesema kwa sasa amepania kuuteka mwaka 2010 kwa ngoma mpya akizungumza na si amesema yeye bado ni mtu poli kutoka moro ukipenda mwite mshamba

CHUKUWAzuri eee

AI JAMANI NJOO NIKUPE UApozi la penzi

MAPENZI UFUKWENImapenzi kupendana

RAISI WA LIBERIA ANOGEWA!


Ellen Jonson

RAIS wa nchi hii, Ellen Johnson Sirleaf ametangaza hazima yake ya kugombea kwa mara ya pili, licha ya awali kuahidi kutumikia nafasi hiyo kwa kipindi kimoja cha miaka sita.
Rais huyo mwenye umri wa miaka 71 amesema kuwa kutangaza hazima yake mapema ni kutaka kumaliza dhana zinazotolewa juu ya nia yake ya kugombea mwaka 2011.


Msemaji wa rais huyo, Cyrus Badio amesema kabla ya kutangaza hazima hiyo awali hakugundua kama kulikuwa na kazi kubwa ya kutekeleza kabla ya mwaka 2005, katika nchi inayojaribu kurejesha hali yake ya awali baada ya kuwepo kwenye vita kwa muda mrefu.


Hellen ni mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kuwa Rais barani Afrika baada ya kushinda kwa asilimia 59 ya kura zote katika marudio ya uchaguzi dhidi ya mchezaji soka maarufu, George Weah.Katika uchaguzi huo wa kwanza Weah alipata kura nyingi katika duru ya kwanza ya uchaguzo huo uliofanyika baada ya kumalizika vita ya wenyewe kwa wenyewe mwaka 2003.
"Kwa leo nafahamu mahali tulipo, nafahamu mahali tunapotakiwa tuwepo kesho na ninafahamu tutafikia mahali hapo,"Hellen aliwaeleza wabunge ambao walikuwa wakisikiliza hotuba yake ya mwaka.


Mwandishi wa Shirika la Utangaazaji la Uingereza, BBC, Jonathan Paye-Layleh aliyepo mjini hapa ameripoti kuwa tangazo la kiongpozi huyo linaweza kupokelewa kwa mikono miwili na wafuasi wake lakini akasema kuwa hali hiyo inaweza kuwa tofauti kwa wapinzani.
Charles Brumskine, who came third in the 2005 presidential poll, said he was concerned about Mrs Johnson-Sirleaf's age.


"Mrs Sirleaf has done what she could do, I think she's reached the limit of her capacity," he told the BBC's Network Africa programme.

UNASHANGAAA UTAJIJUUUUU

Nimie Miss E

AAAAAA WEEEEE


SIMCHEZO BONGE LA MGUU

yaaniii


sinashaka toto la watu mie

HAPO VIPI


wewe unaweza pozi hiii

NAMBARI 2

MSANII WA LUNINGA AKIWA KATIKA MAPOOOZIIIIIIIII


NOMBARI ONE

ALIYEKUWA MSHINDI WA BBA ATETA NA BOSI WAKE

MENEJAMeneja Mkuu wa MurtiChoice Peter Favel akizungumza na mshindi Big Brother Afrika Mwaka jana Richard

Tuesday, January 26, 2010

Burian Swetu..!

waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza juu ikiwa ni safari yake ya mwisho duniani

waombolezaji wakishusha mwili wa Swetu kaburini

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU SWETU PEPONI , AMINA !!

Mamia wamzika Swetu..!

Baadhi ya waombolezaji wakipata suna kabla ya kwenda mazikoni, wa pili kulia ni baba wa marehemu

baadhi ya waombolezaji waliojitokeza msibani kabla ya kuelekea makaburi ya kisutu

Mshindi wimbo bora wa Ukimwi azawadiwa..!


Mratibu wa kitengo cha UKIMWI katika Manispaa ya Temeke, Dkt. Mathias Lyaruu (kushoto), akikabidhi zawadi kwa washindi wa fainali za shindano la wimbo bora wa kupambana na maambukizi ya UKIMWI, Amon Nungi (kulia) na Hassan Akida (katikati) katika ukumbi wa Luxury Pub, shindano hilo liliandaliwa na shirika la PSI Tanzania. Speciroza

NYUMBANI KWA LIUMBA NI SELO TU...!!

Bw. Liumba wa pili nyuma akitoka mahakamani ambako alinyimwa dhamana kwa mara nyingine leo hivyo ataendelea kusota gerezani kwa siku zingine za usoni mwake..!

LAUNCHING OF TWO HEALTH ORGANIZATION IN PICTURE YESTERDAY AT KEMPINSKI..!Mr. David J. Hunter dean for Academic Affairs of Havard University School of Public Health (HSPH) in speech will launching of two health organization MDH and AAPH yesterday night at Kempinski Kilimanjaro Hotel.

Prof. Jorge_Dominguer
Minister for Health Prof. D. Mwakyusa in launching

Madam Ellen Otaru Okoedion coordinator of the event

guests

The champagne for guest of honor

Prof. D. Mwakyusa in right toasting with Prof. Jorge, John Litchen director of Administration & finance and Walter Wirlet (in blue)

Prof. Mwakyusa with the board of directors in group picture